Wadau wa Sheria kutoka mkoani Mtwara wakiwakilisha makundi ya Wenye Mahitaji Maalumu,Wajasiramali, Madereva Bajaji na Pikipiki pamoja na viongozi wa dini wakiwa katika picha ya Pamoja na Naibu katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Zainab Chanzi, alieketi katikati, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza kikao cha kuwajengea uwezo juu ya elimu ya Sheria kwa Umma kilichofanyika katika ukumbi wa Veta mkoani humo tarehe 25/4/2025.