Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania

Mapitio ya Sheria

Mkuu wa Kitengo - Burhan K. Kishenyi

Majukumu:

  • 1.Kundaa na Kufanya kazi za mapitio.
  • 2.Kuainisha sheria zilizo na kasoro na kupendekeza namna ya kurekebisha.
  • 3.Kutathmini utekelezaji wa sheria.

4.Kuondoa sheria za kizamani au zisizo za lazima.

5.kupendekeza sheria zinazohitaji kuwekwa kwenye maandishi na kurahisisha.

6.Kusanya taarifa rasmi za Bunge, Miswada na Sheria kutoka kwa Bunge kwa marejeo.

7.Kuandaa Rasimu ya Miswada , programu za ujumuishaji na marekebisho ya sheria.

8.Kukadiria na kuoanisha nyaraka za Kikanda na Kimataifa zilizosainiwa na kuridhiwa na Tanzania.

9.Kutoa msaada wa kisheria kwa Taasisi za Serikali na kufanya mapitio ya sheria.

10. Kushirikiana na mipango inayoendelea ya maboresho ya sheria ambayo yanahusiana na shughuli za mapitio za Tume.