Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania

Nifanyaje?

Kuleta Maoni ya Marekebisho ya Sheria

Tume imetenga siku Jumatano kuanzia saa 3.00 asubuhi mpaka saa 8.00 mchana kwa ajili ya kuwasikiliza watu mbalimbali wanaohitaji msaada wa kisheria katika ofisi za Tume zilizopo Chuo kikuu cha Dodoma