Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania

Mipango

Kinaongozwa na (Mchumi Mkuu)

Majukumu ya Idara ya Sera na Mipango

Majukumu

Kutoa ushauri wa kitaalam na huduma katika masuala ya sera na mipango; ufuatiliaji na tathminiMajukumu ya Divisheni

o;

iii)Kuratibu maandalizi ya mipango na bajeti ya Tume pamoja na kutekelezaji wake;

iv)Kufanya ufuatiliaji na tathmini ya utekelezaji wa mipango na bajeti ya Tume na kuandaa taarifa;

vii)Kuratibu maandalizi ya hotuba ya Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu bajeti ya Wizara; na mchango wa Wizara katika taarifa ya tathmini ya hali ya uchumi wa nchi;

viii)Kutoa ushauri wa kitaalam katika kuoanisha Mpango Mkakati wa Tume, mipango na bajeti kwa kila mwaka; na mfumo wa ufuatiliaji na tathmini