Sera ya Faragha
Tume italinda faragha na usalama wa wanaotembelea, haitakusanya wala kutoa taarifa binafsi wakati unapotembelea tovuti yetu isipokuwa kwa uamuzi binafsi wa kutoa taarifa.
Tovuti hii ina viungio kwenda tovuti zingine za Serikali ambazo kwa namna moja au nyingine zimetofautiana kwenye ulinzi wake wa data na kanuni za faragha zinaweza kutofautiana na za kwetu. Hatuwajibiki kwa maudhui na kanuni za faragha za tovuti hizo na tunakushauri uangalie ilani za faragha za tovuti hizo kabla hujatumia.
Mabadiliko ya Sera ya Faragha.
Kukitokea mabadiliko yoyote katika sera hii, tutaweka taarifa iliyohuishwa mara moja katika ukurasa. Aidha , tunashauri upitie ukurasa huu mara kwa mara na kusoma taarifa zilizo huishwa ili kupata uelewa wa mabadiliko ya sera yetu.