Dira na Dhamira
DIRA
"Kuwa taasisi inayoaminiwa kwenye maboresho ya Sheria ili kukuza utawala wa sheria kwa maendeleo ya jamii"
DHIMA
"Kufanya mapitio na utafiti ili kuboresha sheria za Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania kulingana na misingi ya Katiba kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii".