Mkurugenzi wa Huduma za Taasisi, Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. Mohamed Mavura, alieketi katikati akiwa na Wanamichezo wa timu ya Tumesheria Sports Club, wanaoshiriki Mashindano ya SHIMIWI 2025, aliwapotembelea kambini Kiloleli, Ilemela Jijini Mwanza tarehe 6/9/2025.