Miradi Inayoendelea
Tathmini ya Mfumo wa Sheria zinzosimamia Usafiri Ardhini nchini
Madhumuni ya tathmini hii ni kubainisha changamoto zinazokabili utekelezaji wa sheria zinazosimamia sekta ya Usafiri Ardhini ili kutoa mapendekezo yatakayosaidia kuboresha utekelezaji wake kwa lengo la kufikia madhumuni yaliyokusudiwa.