Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania

Miradi Inayoendelea

Mapitio ya mfumo wa Utoaji Haki katika Mahakama ya Mwanzo


Madhumuni ya mapitio ya mfumo huu ni kubainisha endapo sheria za mwenendo wa mashauri zinazotumika Mahakama za Wilaya, Mahakama za Hakimu Mkazi na Mahakama Kuu zinaweza kutumika katika Mahakama za Mwanzo ili kuboresha mfumo wa utoaji haki katika Mahakama za Mwanzo.Madhumuni ya mapitio ya mfumo huu ni kubainisha endapo sheria za mwenendo wa mashauri zinazotumika Mahakama za Wilaya, Mahakama za Hakimu Mkazi na Mahakama Kuu zinaweza kutumika katika Mahakama za Mwanzo ili kuboresha mfumo wa utoaji haki katika Mahakama za Mwanzo.