Miradi Inayoendelea
Tathmini ya Mfumo wa Sheria zinazosimamia Usafiri kwa njia ya Maji
Madhumuni ya Tathmini hii ni kubainisha mafanikio na changamoto zinazokabili utekelezaji wa sheria zinazosimamia Usafiri wa Majini ili kutoa mapendekezo yatakayosaidia kuboresha utekelezaji wake kwa lengo la kufikia madhumuni yaliyokusudiwa