Miradi Inayoendelea
Tathmini ya Utekelezaji wa Sheria zinazosimamia Hakimiliki na Hakishiriki
Madhumuni ya Tathmini hii ni kubainisha mafanikio na changamoto zinazokabili utekelezaji wa sheria zinazosimamia Hakimiliki na Hakishiriki kwa Wasanii wa Muziki na Filamu nchini ili kutoa mapendekezo yatakayosaidia kuboresha utekelezaji wake kwa lengo la kufikia madhumuni ya kutungwa kwa sheria.