Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania

Habari

KATIBU WA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA ZANZIBAR ATEMBELEA OFISI ZA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA


Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania, Bw. Griffin Venance Mwakapeje (kulia) akimkabidhi Bw. Mussa Kombo (kushoto), Katibu wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar, nyaraka mbalimbali zikiwemo kalenda na vitabu vya kutunza kumbukumbu (Diary), tukio hilo limefanyika katika Ofisi za Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania zilizopo Jijini Dodoma, siku ya tarehe 06, februari 2023.