Miradi Inayoendelea
Mapitio ya Mfumo wa Sheria zinazosimamia Uchaguzi na Vyama vya Siasa
Mapitio ya Sheria Zinazosimamia Uchaguzi na Vyama vya Siasa Tanzania yanakusudia kubainisha changamotoza kisheria na kitaasisi ambazo zinaukabili uchaguzi unaofanyika nchini.