Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania

Habari

Watumishi wa Tume wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TAHA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba azindua Baraza la Wafanyakazi la Tumesheria. Akizindua baraza hilo aliwapongeza Menejimenti ya Tume kwa kuzingatia Miongozo ya Serikali ya Kuanzisha Mabaraza Mahala pa kazi.