Habari
Picha ya pamoja ya baadhi ya watumishi wa Tume ya Kurekebisha Sheria na Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria
Baadhi ya Watumishi wa Tume ya Kurekebisha Sheria wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria baada ya Mwenyekiti wa Tume Jaji Mstaafu January H. Msoffe (Watatu kutoka kushoto) kukabidhi taarifa ya utekelezaji wa sheria zinazosimamia sekta ya mifugo