Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bw. George Mandepo, alipotembelea Banda la Tume hiyo wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Samia Legal Aid Campaign) Mbagala, Jijini Dar es Salaam. Tarehe 16 Juni 2025.