TUMEYA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YAENDELEA NA UTAFITI

Tume inaendelea na hatua ya pili ya kufanya utafiti kwa kukusanya maoni ya Wadau mbalimbali Mikoani. Kwa sasa Tume inatembelea Mikoa ya Kagera na Mwanza. Katika Mkoa wa Kagera Tume itatembelea wilaya  Bukoba na Muleba kati ya tarehe 9-10 Juni 2014 na Mkoa wa Mwanza  itatembelea wilaya ya  Nyamagana kati ya tarehe 16-17 Juni 2014.

Powered by WordPress | Designed by: Premium WordPress Themes | Thanks to Themes Gallery, Bromoney and Wordpress Themes