Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria  Bi. Agnes Mgeyekwa akimuelezea Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Shinyanga Bw. Alfred Shayo lengo la Tume kufanya utafiti kuhusu Mfumo wa Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania. Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akimkabidhi Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Shinyanga Bw. Alfred Shayo baadhi ya Ripoti zilizofanyiwa kazi na Tume Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akiongea na Wazee katika Makazi ya wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara wakati waTume ilipotembelea makazi hayo ikiwa ni sehemu ya Utafiti wa Mfumo wa Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania Sehemu ya wazee katika Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara wakimsikiliza katibu Msaidzi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa. Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Agnes Mgeyekwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na uongozi wa kituo cha kulelea watoto cha Jipe Moyo kilichopo Musoma mkoani Mara. Katikati ni mratibu wakituo hicho sister Annunciata Chacha Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akipokea moja ya Ripoti tatu kutoka kwa Katibu Mtendaji wa Tume Casmir Kyuki.

Vision

To be a center of Excellence on legal reforms for the promotion of rule of law for national development

Mission

To reform and develop the laws of the United Republic of Tanzania in accordance with the values enshrined in the Constitution to meet the economic, social, cultural and political needs of the changing society.

Wito wa kutoa Maoni kuhusu Mfumo wa Sheria ya Huduma za Ustawi wa Jamii Nchiniflash

Powered by WordPress | Designed by: Premium WordPress Themes | Thanks to Themes Gallery, Bromoney and Wordpress Themes